Thursday, 30 June 2016

Lake Ngozi


Lake Ngozi is the second largest crater lake in Africa. It can be found near Tukuyu, a small town in the highland Rungwe District, Mbeya Region, of southern Tanzania in East Africa. It is part of the Poroto Ridge and part of the caldera rim is the highest point of the Ridge and mostly composed from trachytic and phonolitic lavas. Ngozi is a Holocene caldera that generated the Kitulo pumice 12,000 years ago during a Plinian eruption, most likely in the same eruption that generated the caldera. Other eruption deposits are the Ngozi Tuff (less than thousand years ago) and the Ituwa Surge base surge deposits of uncertain age, but intermediary to the Kitulo pumice and Ngozi Tuff. The youngest activity generated a pyroclastic flow that flowed southwards for 10 km around 1450 CE. Some pyroclastic cones surround the volcano. The walls of the caldera are forested, with the exception of segments scoured by landslides and high cliffs that inhibit access to the water. The inner caldera is forested with Maesa lanceolata, Albizia gummifera and Hagenia abyssinica, far fewer tree species than neighbouring mountains consistent with the recent geological origin of the volcano. The caldera itself is not subjected to hydrothermal activity, but large subaqueous CO2 emissions and local legends of the killing power of the lake indicate a danger of limnic eruptions. The lake floor according to echosounding is flat and has no terraces.


The lake does not undergo large scale fluctuations in lake level, with only minor differences between the dry and rainy seasons. Air temperatures above the lake are around 18 °C with only minor seasonal variations.

Sporadically, the forests were occupied by Safwa hunters. Reports in 2013 stated that in the following year a geothermal project would commence in the vicinity of the volcano halfway between Ngozi and the town of Mbeya

Source: Wikipedia

Hifadhi ya kisiwa cha Rubondo


Hifadhi ya Rubondo ni kisiwa kilichopo pembezoni mwa Ziwa Victoria, ziwa ambalo ni la pili kwa ukubwa duniani, likiwa linazungukwa na nch tatu, Tanzania, Kenya na Uganda. kimeundwa namkusanyiko wa visiwa tisa vidogo vidogo.

Kisiwa cha Rubondo ni makazi na mazingira muafaka ya kuzaliana samaki wakiwemo sato na sangara. Sangara huweza kuwa na ukubwa wa hadi kilo 100.

Fukwe za kisiwa hiki ni miongoni mwa makazi ya pongo na nzohe. Aidha hifadhi hii ni maskani makuu ya ndege na samaki kama zumbuli, chechele na taisamaki.

Mbali na ndege hao kisiwa hiki ni makazi ya aina nyingine nyingi ya ndege wa majini na mimea kadhaa ambayo hutoa harufu nzuri ya kuvutia.

Wanyama wakazi wa hifadhi hii ni kama viboko, pongo, nzohe, fisi maji, mamba na pimbi wanashirikiana makazi na wanyama waliohamishiwa katika hifadhi hii kama sokwe, tembo, mbega weusi na weupe na twiga.

Namna ya kufika

Hifadhi hii ina ukubwa wa kilometa za mraba 457 na iko kaskazini magharibi mwa Tanzania.Pia hifadhi hii -Inafikika kwa ndege za kukodi kutoka Arusha, Ziwa manyara, Serengeti na Mwanza. -Kwa njia ya barabara kutoka Mwanza -Sengerema-Geita-Nkome kisha kwa boti hadi hifadhini. -Kwa meli ndogo kutoka Muleba na Bukoba vilevile kwa njia ya barabara kutoka wilaya ya Biharamulo na Mulebakupitia kijiji cha Mganza

Chanzo: Wikipedia










 

Tuesday, 28 June 2016

Ziwa Natron


Ziwa Natron ni ziwa la chumvi lililopo kaskazini mwa Tanzania, karibu na mpaka wa Kenya, katika tawi la Afrika mashariki la Bonde la Ufa. Ziwa hili hulishwa na mto Ewaso Ng'iro na pia mito chemichemi zilizo tajiri kwa madini ambazo ni kina kabisa. Ziwa hili lina ukina wa chini ya mita tatu (fiti 10), na upana wake hutofautiana kwani hutegemea kiwango chake cha maji. Tofauti ya viwango vya maji kutokana na mabadiliko ya viwango vya uvukizi, ambavyo huacha viwango juu vya chumvi na madini mengine. Sehemu hii imezungukwa na eneo kavu na viwango vya mvua huyumbayumba. Mafukuto katika ziwa hili zaweza kufikia digrii 50 (celcius) au digrii 120 (Fahrenheit), na kutegemea mvua, alkalinity yaweza kufikia pH ya 9-10.5 (karibu kama vile alkali ya amonia).

 

Wanyama

Joto ya juu (hadi digrii 41 °C) na maudhui ya chumvi nyingi inayogeuka katika ziwa hili haifanyi mkono wanyamapori wengi. Hata hivyo ni makazi muhimu kwa aina ya ndege ya flamingo na pia ni makazi ya mwani, wanyama bila mifupa ya migongo na hata samaki ambao wanaweza kuishi katika maji ya chumvi. Hili ndilo ziwa pekee katika eneo la Afrika Mashariki ambalo kwa kawaida flamingo milioni 2.5 ambayo ni wadogo na ambayo huhofia maisha yao hufugwa . Kiwango ya chumvi kiongezekapo,cyanobacteria pia huongekeka, na ziwa yaweza kusaidia viota zaidi. Flamingo hawa, kundi kubwa zaidi katika Afrika Mashariki, hukusanyika pamoja katika maziwa ya chumvi, ambapo wao kujilisha Spirulina (mwani ya rangi ya buluu na kijani na pigmenti nyekundu). Ziwa Natron ni sehemu salama kufuga Flamingo wale wadogo kwa sababu mazingira yake ni kikwazo dhidi ya wanyama wanaokula wenzao wanaojaribu kufikia viota vyao. Flamingo wakuupia hufuga katika sehemu zenye ardhi zilizonyooka. Hata la kushangaza zaidi kuliko uwezo wa flamingo kuishi katika mazingira hayo ni kwamba spishi ya samaki, Tilapia wa alkali (Oreochromis alcalicus), hunawiri katika maji ya mito chemichemi.
 
 

Mimea

Rangi ya ziwa hili ni tabia ya maziwa ambayo hupata viwango vya juu sana vya uvukizi. Maji inapovukiza wakati wa kiangazi, viwango vya chumvi huongezeka na kwa uhakika, vijinyama vipendao chumvi huanza kustawi. Baadhi ya vijinyama hivi nicyanobacteria, bakteria wadogo ambao hukua majini na hujitengenezea chakula kama mimea kupitia Usanisinuru (photosynthesis) . Pigmenti nyekundu ndani ya cyanobacteria hutoa kwa kirefu rangi nyekundu ya wazi wa maji ya ziwa, na rangi ya chungwa kwa sehemu kina ya ziwa. Chumvi ya alkali ambayo hukusanyika juu ya usawa wa ziwa, mara nyingi huwa na rangi nyekundu au pinki ambayo husababishwa na vijinyama vinavyopenda chumvi na ambavyo vinaishi huko. Vinamishi vya chumvi na sehemu zenye maji bichi karibu na pembe za ziwa kufanya mkono aina tofauti ya mimea.

 

(Chanzo: Wikipedia)
 




Picha zote hapo juu zinaonyesha ziwa Natron katika hali ya kawaida
 
 
Ziwa Natron wakati wa ukame
 
 
 
 
 

Monday, 27 June 2016

Vilima vya Pugu

Je wajua kuwa Dar es salaam kuna vilima (hills).

Moja wapo ni ya vilima hivi ni Pugu Hills.

Milima ya Pugu ni sehemu ya misitu ya hifadhi ya Pugu katika mkoa wa Pwani, Tanzania. Hapa ni karibu na hifadhi ya Misitu ya Kazimzumbwi yote ikiwa imepakana na Selous Game Reserve.

Misitu ya Pugu inasemekana kwamba ni kati ya misitu iliyo na umri mkubwa duniani. Misitu hii ni chanzi cha maji ya mti msimbazi unaopita mpaka maeneo ya Jangwani kuja mpaka Daraja la Salender na kasha kuingia bahari ya hindi.

Katika msitu huu kuna machimbo ya Kaolinite ambayo yaligunduliwa na Mkoloni wa Kijerumani. Ujerumani wamekuwa wakichimba madini hayo kwa muda mrefu tangu walipo tawala Tanzania, ukifika hiko utakuta reli iliyo jengwa kuingia katika machimbo hayo.
Inasemekana kwamba msitu wote upo juu ya madini hayo.


Misitu ya Pugu (Picha kutoka Wikipedia)

Moja ya Lodge zilizopo ndani ya Hifadhi ya Misitu ya Pugu


Moja ya machimbo ya Kaolinite ndani ya Hifadhi ya Pugu
 

Reli iliyojengwa na Wajerumani kuelekea kwenye machimbo ya Kaolinite
 

Mawe ya yenye Kaolinite, madini haya yanajulikana kama Kaolin au China Clay (Chanzo: Wikipedia)
 
Muundo wa kikemikali wa madini ya Kaolinite  (Chanzo: Wikipedia)
 
 
 

Monday, 20 June 2016

Vyura vya Kihansi

Chura wa Kihansi kama zilivyo raslimali nyingine ni maliasili muhimu ya watanzania.Chura wa kihansi aligundulika mwaka 1996 katika mapromoko ya maji yaitwayo Mhalala yaliyoko ndani ya Milima ya Udzungwa katika Wilaya ya Kilombero,Mkoa Morogoro.Chura huyu anaishi kwenye mazingira ya maji yanayotiririka na kutoa mvuke mwingi sana kutokana na nguvu ya maji.Chura huyu ambae kitalaamu anaitwa Nectophrynoides asperginis hapatikani sehemu nyingine yeyote duniani isipokuwa katika bonde la Kihansi nchini Tanzania tu.
Chura wa kihansi ni chura pekee katika jamii ya vyura waliopo duniani kwa sababu vyura hawa hutaga mayai na kukaa nayo kwenye kifuko kilichopo ndani ya chura mwenyewe hadi muda wa kuanguliwa unapofika na ndipo hutoa vitoto hai.Kwa lugha rahisi ni kwamba Chura hawa huzaa kwa sababu hatagi mayai yakaonekana bali hukaa ndani ya Chura mwenyewe.

Chura huyu anatofautiana na vyura wengine kwa sababu vyura wa jamii nyingine hutaga mayai na kuyaacha majini ambako huanguliwa wakati mama yao hayo,wakati Chura wa kihansi huangulia tumboni na kuwazaa watoto wakiwa hai,tabia hii ya kuzaa ndio inayomfanya chura huyu kuwa wa kipekee duniani

Chura huyu amewekwa kwenye kundi la viumbe wanaolindwa kutokana na kutoweka kwake na kuwekwa kwenye kifungu cha kwanza cha Mkataba wa Biashara ya Wanyamapori na Mimea iliyo hatarinikutoweka.Mkataba huu kwa Kiingereza unaitwa "Convention on International Trade in Endangered Species" (CITES) na kisheria chura huyu hawezi kufanyiwa biashara ya aina yeyote hapa duniani.

Maporomoko ya korongo la Mto Kihansi ambayo ndiyo makazi ya asili ya Chura hawa yana ukubwa wa eneo la urefu wa Kilometa nne na upana wa nusu Kilometa.Bonde la Mto Kihansi linapatikana katika mto Kihansi unaoanzia katika Wilaya za Mufindi na Kilolo Mkoa wa Iringa na kupeleka maji yake katika Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro.

Chanzo: http://maliasilizetu.blogspot.com/



Sunday, 19 June 2016

Terminal III

Serikali ya Tanzania inaendelea na upanuzi wa Uwanja wa ndege wa kimataifa wa  Mwl. Julius Kambarage Nyerere (JNIA). Terminal inayo ongezwa ni terminal 3 ambayo itakuwa ya kisasa zaidi na yenye uwezo wa kupokea ndege nyingi kwa muda mfupi na kisasa zaidi.

 MUUNDO ULIOPENDEKEZWA na NDIVYO UTAKAVYO KUWA

Chanzo: http://www.airport-technology.com/news/newsbam-international-to-start-phase-2-terminal-construction-at-tanzania-airport-4708957






UJENZI UNAENDELEA.........

Chanzo: https://www.google.com/search?q=proposed+terminal+3+JNIA&bih=782&biw=1600&source=lnms&tbm=isch&sa=X&ved=0ahUKEwj9nrCN7bTNAhVDVRoKHVuPBhUQ_AUICigD#imgrc=ON0-4NhXutJluM%3A


Vinala wetu


Hongera na Asante kwa kutuwakilisha na kuitangaza vyema nchi yetu Mbwana Samatta. Please keep it up.



Saturday, 18 June 2016

Uchumi na Fulsa

Gas

Tanzania ni kati ya nchi 10 Barani Africa zinazo zalisha gesi asilia. Hii ni imeleta chachu na fulsa nyingi kwa wajasiliamali wa ndani na wa nchi jirani kufanya shughuli za biashara zinazo husiana na gesi.

Pia imeleta changamoto kwa waasiliamali wengine wanafanya biashara ya nishati mbadala kama vile makaa ya mawe, mkaa na nishati ya jua.






USAFIRI ndani ya JIJI la Dar es salam

Dar es salaam Rapid Bus Transit

Magari yaendayo haraka ndani ya jiji la Dar es salaam hii ikiwa ni awamu ya kwanza tu (Phase 1) ya project kubwa ya kuboresha miundombinu katika ndani na nje ya miji ya Tanzania.




 
 
 
Daraja la Nyerere limekuwa msaada sana katika kuongeza njia ya tatu kufika miji ya Kigamboni kutoka maeneo mengine y Jiji la Dar es salaam.




 

Sehemu za Kihistoria

Bagamoyo

Olduvai Gorge

Amboni Caves