Magari yaendayo haraka ndani ya jiji la Dar es salaam hii ikiwa ni awamu ya kwanza tu (Phase 1) ya project kubwa ya kuboresha miundombinu katika ndani na nje ya miji ya Tanzania.

Daraja la Nyerere limekuwa msaada sana katika kuongeza njia ya tatu kufika miji ya Kigamboni kutoka maeneo mengine y Jiji la Dar es salaam.
2 comments:
What a beautiful bridge!
Sure Indeed at our current level of economy. The Government has a lot of projects that focus on infrastructure development.
Post a Comment