Sunday 19 June 2016

Terminal III

Serikali ya Tanzania inaendelea na upanuzi wa Uwanja wa ndege wa kimataifa wa  Mwl. Julius Kambarage Nyerere (JNIA). Terminal inayo ongezwa ni terminal 3 ambayo itakuwa ya kisasa zaidi na yenye uwezo wa kupokea ndege nyingi kwa muda mfupi na kisasa zaidi.

 MUUNDO ULIOPENDEKEZWA na NDIVYO UTAKAVYO KUWA

Chanzo: http://www.airport-technology.com/news/newsbam-international-to-start-phase-2-terminal-construction-at-tanzania-airport-4708957






UJENZI UNAENDELEA.........

Chanzo: https://www.google.com/search?q=proposed+terminal+3+JNIA&bih=782&biw=1600&source=lnms&tbm=isch&sa=X&ved=0ahUKEwj9nrCN7bTNAhVDVRoKHVuPBhUQ_AUICigD#imgrc=ON0-4NhXutJluM%3A


Vinala wetu


Hongera na Asante kwa kutuwakilisha na kuitangaza vyema nchi yetu Mbwana Samatta. Please keep it up.



Saturday 18 June 2016

Uchumi na Fulsa

Gas

Tanzania ni kati ya nchi 10 Barani Africa zinazo zalisha gesi asilia. Hii ni imeleta chachu na fulsa nyingi kwa wajasiliamali wa ndani na wa nchi jirani kufanya shughuli za biashara zinazo husiana na gesi.

Pia imeleta changamoto kwa waasiliamali wengine wanafanya biashara ya nishati mbadala kama vile makaa ya mawe, mkaa na nishati ya jua.






USAFIRI ndani ya JIJI la Dar es salam

Dar es salaam Rapid Bus Transit

Magari yaendayo haraka ndani ya jiji la Dar es salaam hii ikiwa ni awamu ya kwanza tu (Phase 1) ya project kubwa ya kuboresha miundombinu katika ndani na nje ya miji ya Tanzania.




 
 
 
Daraja la Nyerere limekuwa msaada sana katika kuongeza njia ya tatu kufika miji ya Kigamboni kutoka maeneo mengine y Jiji la Dar es salaam.




 

Sehemu za Kihistoria

Bagamoyo

Olduvai Gorge

Amboni Caves




Mt. Kilimanjaro

Mlima wetu fahari yetu